facebook

Friday, November 21, 2014

MASHAIRI KUPANDA NA KUSHUKA by NIKKI MBISHI FEAT ONE,SONGA&LADY JAYDEE

Tamadunimuzik.....Yeah
Combination sounds....
Combinenga.....

Chorus:JD
Siku ikifika tukubali,tuwe macho
Kupanda na kushuka zote hali,tuwe macho x2

Verse 1:Nikki Mbishi
Vaa wema vua shari safari hatua,
Round hii mbishi niko gengeni na jua kali,
Siuzi nyanya vitunguu wala pilipili hoho,
Too little too late ushachelewa Jojo,
Wakiniona mi nashine wanachonga,
Ndo maana kila line wanaponda,
Vipi nikisign na Anaconda,
Busy kwenye show mi nashow biz na kwa flow hizi si ndo time ya kusonga,
Hahahahaaa!!! hii ni hit ya kubaki,
Mwenyei kaniumba fit ndo maana lift sitaki,
Nabang kila session mpaka morning groove,
Eti niko chini hunioni juu?,Mi ni leader wa performing crew,
Nizungue ubaki mweupe design ya hair style ya Monikuu,
Haah Nikki Mbishi Songa One The Incredible,
Komando Yosso ni mzozo ngoma ni terrible,
Karibuni..

Chorus:JD
Siku ikifika tukubali,tuwe macho
Kupanda na kushuka zote hali,tuwe macho x2

Verse 2:One the inredible
Wanasema wanapenda vile mi hubonga kila kitu,
Rap sonara madini huwa nachonga kila siku,
Sina fleva za kibongo naonja kila kitu,
Bila woga wanaloga niwe kioja kila siku,
Kama unaipenda push play ama itose,
Everyday iwe kush nei ama okayyy,
Wazushi msichoke naghushi ninyooshe,
Nipe changamoto sio kila nikigusa tu okayyy
Kuna watu wangependa nigote kwenye misele,
Iwe kwere kote Moko nisote nisiende mbele,
Nichoke niwe kero kokote au niende selo nisitoke,
Ila msiogope nipo milele,
Kwani muumba ndo mpaji kutunga kipaji,
Niko macho wanataka kuniua niwe mtaji,
Niko Anaconda na hii ndo ile siku niko mcaho,
Ila wengi watakesha kila siku..

Chorus:JD
Siku ikifika tukubali,tuwe macho
Kupanda na kushuka zote hali,tuwe macho x2

Verse 3:Songa
Chungu kichungu natema sumu kisumu,
Hali ni mgumu je utabeba dumu kidumu,
Na kidumu mpaka wasaa utapotambaa,
Na kushangaa kwamba kufika humu ni ngumu,
Ukicheck chance hola,unawaza utaishi vipi endapo majambazi wakipora,
Basi bora,kuwa na wasi kama polisi ni sawa na wazazi wenye bastola,
Heeey.. na bado utakosa njozi,kazi hakuna utanuna utashona gozi,
Niite Songa endapo utakosa pozi,
Au nyong'onyea zaidi ya mgonjwa aliyekosa dozi,
We si kiongozi...ndio,
Mbona maji hakuna wananchi mtaani wanaoga chozi....
(kicheko]

Chorus:JD
Siku ikifika tukubali,tuwe macho
Kupanda na kushuka zote hali,tuwe macho x2

Wednesday, November 19, 2014

Familia ya Bob Marley kuuza bidhaa za Bangi.

FAMILIA YA BOB MARLEY.
Familia ya aliyekuwa mwanamuziki wa Jamaica, Bob Marley imezindua kampuni ambayo wanaitaja kama ya kwanza duniani kuuza bidhaa za Canbbisa au marujuana au Bangi kama wanavyoijua wengi.
Bidhaa hizo zitajulikama kama 'Marley Natural' na na zitajumuisha mafuta ya urembo pamoja na manukato mengine ya wanawake na bidhaa nyinginezo.
Bidhaa hizo zitatengezwa na kampuni kubwa ijulikanano Privateer Holdings iliyo mjini Washington Marekani, ikisisitiza kutaka kudumisha kumbukumbu ya mwanamuziki huyo aliyesifika kote duniani.
Bidhaa hizo zitauzwa nchini Marekani na kwingineko duniani kunzia mwaka jana.
Mwanawe Bob Marley, Cedella Marley, alisema hayati babake angekuwa hai angefurahishwa sana na wazo hilo.
Bidhaa hizo zitakuwa za urembo kama vile mafuta na manukato
''Babangu angekuwa na fahari kubwa kuona watu wakitambua uwezo wa kuponya wa Bangi,'' alisema Cedella.
Mkuu wa kampuni hiyo, Brendan Kennedy alisema Marley alikuwa mtu ambaye kwa njia nyingi alisaidia kuanzisha harakati za kupinga juhudi za kuharamisha Bangi miaka 50 iliyopita.
"Marley alipenda sana kutumia Bangi na hakuna aliyemshinda kwa hilo duniani kote. ''
Bob Marley alifariki mwezi Mei mwaka 1981, kutokana na Saratani.Alipenda sana kutumia Bangi kama sehemu ya imani yake ya Rastafarian na kuunga mkono kuhalalishwa kwake.
Matumizi ya Bangi kwa ajili ya kujiburudisha yamehalalishwa katika majimbo ya Colorado na Washington nchini Marekani.
Majimbo mengine huenda yakaidhinisha matumizi ya Bangi nchini Marekani na mengine tayari yanaruhusu utumiaji wa bidhaa hiyo kwa sababu za matibabu.

ONE THE INCREDIBLE KUZINDUA ALBUM YAKE MPYA, REPRESENTING AFRICA POPOTE (R.A.P) DECEMBER 5.

ONE THE INCREDIBLE KUZINDUA ALBUM YAKE MPYA ITAKAYO ITWA REPRESENTING AFRICA POPOTE (R.A.P) DECEMBER 5 KATIKA VIWANJA VYA POSTA.

PAKUA NA KUSIKILIZA WIMBO MPYA JCB ft. Hisia "Mtoto Mkali/Ghetto Love"

Bofya HAPA https://mkito.com/s…/mtoto-mkali-ghetto-love-feat-hisia/3339 Kupata wimbo mpya wa "JCB ft Hisia, wimbo unakwenda kwa jina la Mtoto Mkali/Ghetto Love" ikiwa ni mkono wa HipHop toka Watengwa Recs Kijenge kazi ya producer Daz Knowledge/DabRecs/Defxtro, kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na JCB kwa whatsapp +45 52 750 060 pia follow @mkitodotcom @jcbwatengwa @daznaledge @noizmekah @hisiatz powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com ‪#‎supportafricanartists‬ ‪#‎shidampya‬ ‪#‎YKMK‬

BEEF KUTOKA KWA SONGA IJUMAA HII.


KWA UPENDO WENU MLIOONESHA WIMBO UTATOKA IJUMAA HII,UNAITWA "BEEF."
LIKE,COMMENT,SHARE NA ITAKUWA POA ZAIDI KAMA UTAIWEKA HII PICHA KAMA PROFILE PICTURE YAKO.
S/o KWA KUMKICHWA KWA COVER ART.
#Songa
#Beef
#ThisFriday
#StayTuned