New Album (Njiani) kutoka kwa Songa hiko mtaani sasa kwa bei ya Tsh 10000 tu piga no:0655156561.
Monday, December 28, 2015
Thursday, December 24, 2015
Thursday, December 10, 2015
Magufuli atangaza baraza la mawaziri.
Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo kwa sasa lina mawaziri 19, ingawa wizara ni 18. Mawaziri sita kati ya hao ni wanawake.
Dkt Magufuli amesema kuna nafasi nne za uwaziri ambazo bado anatafuta watu wanaofaa kuteuliwa.
Walioteuliwa ni:
1.Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri – George Simbachawene na Angella Kairuki
Naibu Waziri – Sumeilam Jafo.
2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
4.Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – William Ole Nasha
5.Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Edwin Ambandusi Ngonyani
6.Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Ashantu Kizachi
7.Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – Prof Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri – Medalled Karemaligo.
8.Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri – Harrison Mwakyembe
9.Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Dkt Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt Susan Kolimba.
10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dk Hussein Mwinyi
11.Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Charles Kitwanga.
12.Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula
13.Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Ramol Makani
14.Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Charles Mwijage.
15.Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Stella Manyanya
16.Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Ummy Mwalim
Naibu Waziri – Dkt Hamis Kigwangala
17.Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri – Nape Nnauye
Naibu Waziri – Anastasia Wambura.
18.Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof Makame Mbarawa
Naibu Waziri - Isack Kamwela
Monday, August 24, 2015
Sunday, August 2, 2015
Tuesday, June 16, 2015
Thursday, June 4, 2015
Thursday, April 16, 2015
KAZI NZURI TOKA KWA CHIKU K FT BOKA TEE PIGA HATUA KUTOKA APRIL 18.
Wimbo Mpya Toka Kwa Chiku k ft Boka Tee PIGA HATUA Kutoka April 18 siku ya Juma mosi Produced by Zest.
WIMBO MPYA WA STEREO NA CHIDI BEENZ UTATOKA KESHO IJUMAA,TAREHE 17/4/2015 KWENYE VITUO VYOYE VYA REDIO NCHINI.
Kazi Nzuri toka kwa Stereo ft Chidi Beenz kutoka kesho Tarehe 17 april katika vituo vyote vya Redio Pia itapatikana katika Mkito.com.
Sunday, March 22, 2015
Saturday, March 21, 2015
SOON KAZI NZURI TOKA KWA CHABA FT G.NAKO CHAPAA.
Soon kazi Nzuri Kutoka Kwa CHABA FT G.NAKO Chapaa Produced by DAZ NALEDGE Ndani ya Watengwa Records.
Tuesday, March 17, 2015
DVD YA TEMEKE SHOW TOKA KWA NASH MC ITAKUWA TAYARI HIVI KARIBUNI.
Nash Mc TEMEKE SHOW DVD ITAKUA TAYARI HIVI KARIBUNI, KWA T.SHS 10000/= TU
PIGA NAMBA 0713 900 994, 0769 522 346, KWA MAELEKEZO ZAIDI
PIGA NAMBA 0713 900 994, 0769 522 346, KWA MAELEKEZO ZAIDI
MZIKI MZURI TOKA KWA AMINI FT NAMCY VANA NABAKI NAYE.
Kazi nzuri toka kwa Amini Nabaki Nae Unaweza kuisikiliza na kuipakua hapa https://mkito.com/song/nabaki-nae-ft-namcy-vanna/13588
Friday, February 27, 2015
Monday, February 23, 2015
Sunday, February 22, 2015
Friday, February 20, 2015
CHEKI VIDEO YA BARNABA,VANESSA MDEE - SIRI HAPA.
STOP ALBINO KILLINGS.
MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA ATAKA HAKI.
Mtu aliyezuiliwa kuingia Paris Metro train na mashabiki wa timu ya mpira ya Chelsea kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ametaka waadhibiwe.
Mtu huyo mwenye miaka 33 anayeitwa Souleymane S aliambia gazeti la Le Parisien: “Hawa watu, hawa mashabiki wanapaswa kufungwa".
Video ilionyesha mtu huyo akizuiliwa kuingia kwenye Metro na akisukumwa na mashabiki hao.
Watu walisikika wakiimba: "Sisi ni wabaguzi wa rangi na hivyo ndivyo tupendavyo".
Kanda hiyo ya video ilitolewa na gazeti la the Guardian lililotoa ripoti kuwa tokeo hilo lilifanyika Richelieu-Drouot katika mji mkuu wa Fance siku ya Jumanne kabla mechi ya Champions Legue.
Subscribe to:
Posts (Atom)