facebook

Friday, February 27, 2015

Friday, February 20, 2015

CHEKI VIDEO YA BARNABA,VANESSA MDEE - SIRI HAPA.

cheki video ya siri hapa iliyo andaliwa na Hanscana dE Lavenche.

STOP ALBINO KILLINGS.

Kufuatia kuguswa na na vitendo viovu vinavyoendelea nchini dhidi ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), Blog ya Harakati za m2 mweusi na Jay 4 tunasema #‎STOPKILLINGALBINO‬

MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA ATAKA HAKI.

Mtu aliyezuiliwa kuingia Paris Metro train na mashabiki wa timu ya mpira ya Chelsea kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ametaka waadhibiwe.
Mtu huyo mwenye miaka 33 anayeitwa Souleymane S aliambia gazeti la Le Parisien: “Hawa watu, hawa mashabiki wanapaswa kufungwa".
Video ilionyesha mtu huyo akizuiliwa kuingia kwenye Metro na akisukumwa na mashabiki hao.
Watu walisikika wakiimba: "Sisi ni wabaguzi wa rangi na hivyo ndivyo tupendavyo".
Kanda hiyo ya video ilitolewa na gazeti la the Guardian lililotoa ripoti kuwa tokeo hilo lilifanyika Richelieu-Drouot katika mji mkuu wa Fance siku ya Jumanne kabla mechi ya Champions Legue.

Sunday, February 15, 2015

R.I.P MZEE EBBY SYKES.

Mzee Sykes







































   


Baba Mzazi wa Duly Sykes Afariki Dunia...!! 
Blog ya Harakati za m2 mweusi Inatoa pole kwa Familia Nzima ya Mzee SYKES.



















Friday, February 13, 2015

Wednesday, February 11, 2015

CHEKI VIDEO YA KALAKANA FT BANDANA RAFIKI MNAFKI HAPA.


NEW T SHIRT KUTOKA KWA NASH MC ZUZU KUISHI AU KUISHIA PATA T SHIRT YAKO SASA KWA TSH 15000 TU.

MABADILIKO YANAANZA NA MIMI.
Rasmi nimejisajili na timu hii ya hamasa ya mabadiliko katika nchi yangu kwa kuvaa jezi yangu yenye kauli mbiu ya kiume,2015 KUISHI AU KUISHIA lakini Mimi nitachagua KUISHI nikiwa na maana ya kwamba,hauwezi ukawa unaishi bila mabadiliko na sasa tunahitaji mabadiliko ya dhati,muziki wangu nautumia kuitetea jamii ya wanyonge na mafukara wenzangu sitokubali kutumika na Chama au kuvaa jezi zao ilhali nikijua kabisa wanaumiza wanyonge wenzangu,kama unaamini katika kuleta hamasa ya mabadiliko basi unaweza kununua jezi hii kwa T.SH 15000/= tu na ukajiunga katika timu hii.
Piga namba 0713 900 994 , 0769 522 346. 
‪#‎2015KUISHIAUKUISHIA‬

CHEKI VIDEO YA WAKAZI SUMU YA PANYA HAPA.

Sumu ya Panya Video.

KAZI NYINGINE NZURI TOKA KWA WAKAZI KWA MTOGOLE WIKI IJAYO.

Nyimbo nyingine mpya kutoka kwenye Mixtape ya Wakazi "Live Stakishari" inayotoka wiki ijayo Kwa Mtogole.

Tuesday, February 10, 2015

TAR 15/2 TAPE YA P THE MC NA ZAIID INAYOKWENDA KWA JINA LA MWENGE-KIWALANI ITAKUA MTAANI.

‪#‎LIPIA_KABLA_MWENGE_KIWALANI_MIXTAPE‬!!!!
KWA WALIPAJI WA KABLA WA ‪#‎MWENGE_KIWALANI_MIXTAPE‬ TUMIA NAMBA HIZI....
KWA WATU WA ‪#‎DAR_ES_SALAAM‬ WANAWEZA KULIPIA HATA KWA CD MOJA, LAKINI WA ‪#‎MKOANI‬ MALIPO YAANZIE ‪#‎CD_TANO‬ ( 5 ) CHINI YA HAPO USITUME PESA YAKO MPAKA TUTAKAPOANDAA MFUMO UTAKAOWAFAA KWA KULIPIA CD MOJA::
( UKITUMA PESA TUMA NA "SMS" YA JINA LAKO, JINA LA WAKALA ULIYEMTUMIA AU AKAUNTI YAKO ULIYOTUMIA NA MAHALI ULIPO)

YUZZO KUTOKA WATENGWA ANATAKA KUACHIA BALAA JIPYA TUKAE TAYARI KWA KAZI NZURI.