MABADILIKO YANAANZA NA MIMI.
Rasmi nimejisajili na timu hii ya hamasa ya mabadiliko katika nchi yangu kwa kuvaa jezi yangu yenye kauli mbiu ya kiume,2015 KUISHI AU KUISHIA lakini Mimi nitachagua KUISHI nikiwa na maana ya kwamba,hauwezi ukawa unaishi bila mabadiliko na sasa tunahitaji mabadiliko ya dhati,muziki wangu nautumia kuitetea jamii ya wanyonge na mafukara wenzangu sitokubali kutumika na Chama au kuvaa jezi zao ilhali nikijua kabisa wanaumiza wanyonge wenzangu,kama unaamini katika kuleta hamasa ya mabadiliko basi unaweza kununua jezi hii kwa T.SH 15000/= tu na ukajiunga katika timu hii.
Piga namba 0713 900 994 , 0769 522 346.
#2015KUISHIAUKUISHIA

No comments:
Post a Comment