TAARIFA KUHUSU MSIBA WA NGWAIR KUTOKA KWA BABA MDOGO WA MAREHMU!
Baba Mdogo wa Marehemu Mzee Mangwair ambaye yuko Mbinga Songea
kikazi, amesema kuwa wamekubaliana na kaka yake mkubwa yaani Baba Mkubwa
wa Ngwair, David Mangwair ambaye naye yuko Songea kuwa watu
watakutanika Mbezi kwa msiba na pia mapokezi yatafanyika hapa Dar es
salaam Mbezi Beach.Ingawa bado kikao cha familia nzima hakijafanyika
lakini Baba huyo mdogo amesema wanaweza kulazimika kuzika Morogoro
sehemu ambayo baba yake alizikwa.
Baba huyo mdogo alisema kuwa
kesho ndo watarudi Dar es Salaam pamoja na Kaka yake yaani Baba Mkubwa
wa marehemu.Kuhusu mwili kuletwa hapa Tanzania kutoka Africa ya Kusini
Baba mdogo amesema kuwa mpaka sasa hawajajua jinsi gani mwili hup
utafika hapa lakini kuna ndugu zao ambao tayari washaanza kufanya
taratibu za kuwasiliana na Ubalozi wa Africa ya Kusini ili kujua ni
jinsi gani mwili huo utafika hapa.
Kama kutakuwa na mabadiliko yeyote watakapowasili kesho Baba mdogo na Baba Mkubwa baada ya kikao cha familia watatoa taarifa.
;Baba Mdogo wa Marehemu Mzee Mangwair ambaye yuko Mbinga Songea

No comments:
Post a Comment